Mtu wangu tuna kila sababu ya kujivunia muziki wa East Africa kuzidi kuchukua rotation kubwa kwenye Bara la Africa, July 6 2016 Yemi Alade anawashirikisha Sauti Sol kwenye mdundo mpya unaoitwa ‘Africa‘ video ikiongozwa na Evie Etseyatse, usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa.
Yemi Alade – Africa ft. Sauti Sol

Post a Comment