Liverpool wanampango wa kumuuza kwa mkopo mchezaji Mamadou Sakho mara baada ya kuonekana uwezo wake kupungua, majeruhi ila sababu haswa ikitajwa kuwa ni nidhamu yake iliyosababisha Klopp kumuacha kwenye Tour ya maandalizi ya msimu na kumruhusu Sakho kwenda Nyumbani. (Telegraph)
Taarifa kuhusu Rashford wa Manchester United 23/8/2016
Mchezaji wa Manchester United Marcus Rashford anatajwa huenda akaachwa na Kocha wa Timu ya Taifa ya England kutokana na Ufinyu wa Kucheza anaoupata katika kikosi cha MANCHESTER UNITED.
Kinda huyu toka amekuja Ibrahimovic amekuwa hapati nafasi ya kuanza katika kikosi cha Kwanza hivyo kocha wa England anahofia sana Uwezo wake kwenye timu ya Taifa.
Tetesi za Usajili Arsenal 23/8/2016
Wakati Arsenal ikihaha huku na Kule kutafuta beki wa Kati, Wamejikuta wakiwekewa NGUMU tena na West Brom kumsajili Jonny Evans, West Brom wamesisitiza Kuwa kama Arsenal wanamtaka basi wawe tayari kutoa Pauni milioni 25 za Kiingereza.
Justin Bieber Kuwa Kwenye Movie Moja na Star huyu wa Soka ni Messi au Ronaldo Bofya
Tetesi za Usajili Manchester City Leo 23/8/2016
Pep Guardiola ameandikwa na mtandao wa Teegraph kuwa hivi karibuni huenda akawapa mkono wa kwaheri wachezaji Samir Nasri na Yahya Toure

- Aliyekuwa Mchezaji wa Manchester United Tyler Bracket amesaini Reading kwa Mkataba wa miaka mitatu baada ya kuonekana sio Chaguo la Mourinho.
- De Jong mchezaji wa Newcastle ameenda PSV kwa mkopo
Jana La Liga Iliendelea kwa Mechi moja na haya hapa ni matokeo ya Wiki Nzima ya Ligi hiyo
![]() |
credit sky sports. |
Post a Comment