Moja
kati ya vitu muhimu katika familia ni heshima na kuwa na maadili mazuri
na kuheshimu wazazi wako,pamoja na hayo imeonekana watoto wengi na
vijana hununua baadhi ya movies bila kujua story zake ndani na hukaa na
wazazi wao pamoja hasa nyakati za usiku na kuanza kutazama bila kujua
ile filamu au movie ina maadili gani.Tatizo ni kwamba katika kizazi cha
sasahv mtoto na wazazi wamekuwa katika level moja ya kuonana ni the same
kukaa na kufanya baadhi ya vitu bila kujali.
Lakini
leo hii nimekuandalia wewe kijana hata mzazi pia inakuhusu hii Movies
10 ambazo usiangalie na mtu chini ya umri wako au tofauti na rika lako
kwasababu maadili na maudhui yanaweza yakakukera au kukushushia thamani
yako pale utakapozitazama pamoja na hao watu nliokuambia.Tazama video
hapo chini.

Post a Comment