Patoranking ameweka historia baada ya album yake mpya ‘God Over Everything kushika namba nne kwenye chart za Billboard.
Album hiyo ambayo ina siku kumi tu tangu imetoka imeshika namba nne kwenye kipengele ya ‘Reggae albums’ cha Chart hizo kubwa zaidi duniani, huku ikiwa nyumba ya “Revelation Part II: The Fruit of Life’ ya Stephen Marley, Falling into Place ya Rebelution na Evolve: The Uprise ya Future Fambo.
Kwenye album hiyo Patoranking amewashirikisha mastaa wengine ikiwemo Sarkodie na Wizkid.
Post a Comment