Advertise

Advertise

Mshindi wa Big brother msimu wa pili, Richard Dyle Bezuidenhout ameachia Trailer ya filamu yake mpya ‘Mchumba sio ATM’ 
Fialmu hiyo imeigiziwa Canada na imeongozwa na yeye mwenyewe.
Richard aliingia kwenye sanaa ya uigizaji baada ya kushinda mamilion ya Big Brother, aliwahi kuigiza filamu kadhaa na marehemu Steven Kanumba.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.

Powered by themekiller.com