Mchezaji wa klabu ya Chelsea, Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella
Semaan ambao wamejaaliwa kupata watoto wawili ambao wote ni wakike, Lia
(amezaliwa 2013) na Capri (amezaliwa 2015).
Kupitia account zake za Twitter na instagram, Fabregas amethibitisha
kuwa wanataraji kupata mtoto wao wa 3, safari hii atakuwa wa kiume.
Post a Comment